![]() |
Ongeza kichwa |
Hawa ni baadhi ya omba omba jijini Dar es Salaam wakihamishwa maeneo yao
ya kazi ya kuomba.Kama unavyoona kwa picha hawako tayari kuhama kwa sababu hawana kazi ya kufanya zaidi ya kuomba wa wapita njia.Hivyo wanajua kabisa kitendo cha kuwaondoa katikati ya jiji ni kuwaua na njaa.Ok wavumilie Obama akimaliza ziara yake huenda serikali itawaruhusu tena kuendelea kuomba katikati yajiji
No comments:
Post a Comment