Ukizungumzia Mwanamke mwenye upeo mkubwa na mwenye maendeleo duniani basi hautakosa kusikia Jina ili kwenye Masikio yako......OPRAH WINFREY.. Oprah ambae amejipatia umaarufu kupitia kipindi chake cha televisheni cha Utangazaji kilichokuwa kinaeenda kwa jina la Oprah Winfrey Show na sasa kinaitwa OWN.... Mwanamama huyu alizaliwa Mwaka 1954,January 29 ndani ya nchi ya Marekani jiji la Mississipi....!! Mwanamama huyu kwa sasa ndie mwanamke mwenye kisu kirefu na kikali zaidi duniani kwa mujibu wa mtandao wa FORBES yanii hapa nikimaanisha ni mwanamama mwenye hela nyingi kupita wanawake wote duniani na ndie mwanamke mwenye ushawishi mkubwa kwenye maswala ya kijamii....!! Mwenye utajiri ufikiao Dolla za Kimarekani 423 kwa mwaka 2012-2013 june.... Bado akiwa amechangia vitu vingi kama miradi ya maji kwenye bara la Afrika na sehemu mbalimbali Afrika na duniani kiujumla...... Kwenye List hiyo Oprah ameweza kukaa akiongoza kwa muda wa miaka 6 akiwa mwanamke mwenye mshiko mrefu huku anaemfatia kwa nyuma ni Beyonce & Lady Gaga ambao amewaacha kwa mbali kabisa..... |