Wednesday, 10 July 2013

HIVI NDIVYO VITISHO VYA RAISI KAGAME KWA RAISI KIKWETE

Nikiwa  katika  pita pita zangu, nimeshtushwa sana na kauli za  KIHUNI  za Rais  Paul Kagame  dhidi ya  Rais wetu Kikwete na nchi yetu kwa ujumla....

Rais Kikwete ameepuka malumbano na Kagame kwa  kukaa  kimya , lakini inaelekea Kagame  anadhani ukimya wa Kikwete ni uoga kwake  au labda anatafsiri kuwa anadharauliwa.....

Nadhani  huu  ni  wakati  mwafaka  kwetu  sisi  watanzania  kuungana  na  kumuunga  mkono  rais  wetu  juu  ya  huu  UPUMBAVU  wa  Kagame....

Kagame  ni  lazima  atambue  kwamba  watanzania  tupo  tayari  kuilinda  nchi  yetu  kwa  gharama  yoyote  na  kamwe  hatuwezi  kuwa  VIBARKA  wa  Rwanda...

Ifuatayo  ni  Kauli  ya  Kihuni  aliyoitoa  Rais  Kagame  Kwa  Taifa  letu:
-------------------------------------------------------------

.....“Those people [Tanzanian President Jakaya Kikwete] you just heard siding with Interahamwe and FDLR and urging negotiations… negotiations? 


 Me, I do not even discuss this topic, because I will just wait for you [Tanzanian President Jakaya Kikwete] at the right place and I will hit you! He[Tanzanian President Jakaya Kikwete] did not deserve my answer.


 I did not waste my time answering him…It is well known. There is a line you cannot cross, there is a line, a line that you should never cross. It is impossible…”“


It is in these ominous terms that the Rwandan dictator General Paul Kagame threatened to get even with Tanzanian President Jakaya Kikwete, while addressing Rwandan Youth on June 30, 2013 during a summit called “Youth Konnect”“, sponsored by his wife, Janet Kagame. 


Relations between Tanzanian President Jakaya Kikwete and Rwandan leaders have soured in the last weeks. On several occasions Rwandan leaders called the Tanzanian President “a genocide and terrorist sympathizer”, “ignorant”, “arrogant”, and “mediocre leader”. 

The relations have deteriorated following the recommendation by President Jakaya Kikwete of open negotiations between Rwandan, Ugandan and Congolese leaders and their respective armed opposition in order to bring durable peace and security in the African Great Lakes region....

Read more: http://talkbongo.blogspot.com/2013/07/nasubiri-muda-muafaka-wa-kumfundisha.html#ixzz2YfktdkDt

Saturday, 6 July 2013

HONGERA KWAKO MASANJA KUFICHUA UCHAFU WA CRDB

MASANJA MKANDAMIZAJI AFICHUA UBAGUZI WA BANK YA CRDB KATIKA UTOAJI WA AJIRA


Katika  upekuzi  wangu  , niliamua  kumtembelea  masanja  mkandamizaji  kuona  alichokandamiza  jioni  hii...

Hii  ni  post  yake  facebook  iliyofichua  UBAGUZI  wa  bank  ya  CRDB  katika  utoaji  wa  ajira  kwa  wasomi  wetu  hapa  nchini...

------------------------------------------------------------------------

Internship opportunities with CRDB Bank PLC. These opportunities cover different regions/branches all over the country as indicated below.
•Arusha
•Bagamoyo
•Bukoba
•Dar es Salaam
•Geita
•Ifakara
•Karagwe
•Kigoma
•Kilombero
•Makambako
•Mbeya
•Morogoro
•Njombe
•Shinyanga
•Singida
•Songea
•Tabora

Minimum Requirements
Final year student from UDBS also other UDSM Students will be considered
•GPA of at least 3.5
•The applications should comprise CVs, Provisional results, a cover letter indicating the station/branch of preference among the mentioned above.

Due to limited space only shortlisted candidates will be contacted.

Deadline: 10th July, 2013 at 1500hrs

Submission: online (career@udbs.udsm.ac.tz) or B.324 (office hours)

SWALI: TANZANIA KUNA VYUO VIKUU VINGAPI?

Friday, 5 July 2013

HUYU NDIE MWANAMKE TAJIRI ZAIDI KULIKO WOTE DUNIANI

Ukizungumzia Mwanamke mwenye upeo mkubwa na
 mwenye maendeleo duniani basi hautakosa kusikia
Jina ili kwenye Masikio yako......OPRAH WINFREY..
Oprah ambae amejipatia umaarufu kupitia kipindi chake
cha televisheni cha Utangazaji
kilichokuwa kinaeenda kwa jina la Oprah Winfrey Show
 na sasa kinaitwa OWN....
Mwanamama huyu alizaliwa Mwaka 1954,January
29 ndani ya nchi ya Marekani jiji la
Mississipi....!!
Mwanamama huyu kwa sasa ndie mwanamke mwenye
kisu kirefu na kikali zaidi duniani  kwa mujibu wa
mtandao wa FORBES yanii
hapa nikimaanisha ni mwanamama mwenye hela nyingi
kupita wanawake wote duniani na ndie
mwanamke mwenye ushawishi mkubwa kwenye maswala ya kijamii....!!
Mwenye utajiri ufikiao Dolla za Kimarekani 423 kwa
mwaka 2012-2013 june....
Bado akiwa amechangia vitu vingi kama miradi ya maji
kwenye bara la Afrika na sehemu mbalimbali
Afrika na duniani kiujumla......
Kwenye List hiyo Oprah ameweza kukaa akiongoza kwa
 muda wa miaka 6 akiwa mwanamke mwenye mshiko mrefu
huku anaemfatia kwa nyuma ni Beyonce & Lady Gaga
ambao amewaacha kwa mbali kabisa.....

Thursday, 4 July 2013

'Our Biggest Fear is Poverty...' - P Square on the 1 ON 1 Show with Moet

HII NDIO TANO BORA YA WACHEZAJI MATAJIRI ZAIDI DUNIANI

David Beckham mwenye umri wa
miaka 37 huyu ndie anaeongoza ameweka kibindoni hadi
sasa Paund za Kiingereza 175 milioni.....!!
2.Lionel Messi Mchezaji  wa Barcelona mwenye umri
 mdogo na mwenye kasi zaidi uwanjani huyu hadi sasa
kutokana na matangazo na kazi ya mpira ameingiza kiasi
cha paund za kiingereza
115.5 Milioni....
3.Cristiano Ronaldo mchezaji wa Real Madrid ya Uhispania
 huyu kutokana na matangazo
na mikataba mbalimbali hadi sasa ameingiza kiasi cha
paund za kiingereza 112 milioni..
4.Ricardo Kaka mchezaji wa Real Madrid ndio anashikilia
nafasi hii kwa sasa kutokana na matangazo
na biashara zake binafsi ameingiza hadi sasa paund za kiingereza 66.5 milioni
5.Ronaldinho mchezaji wa timu ya taifa ya Brazil ndio anaetufungia
 dimba akiwa ameshikilia nafasi
ya tano kwenye list hii akiwa ameingiza Paund za kiingereza
 63milioni hadi leo kutokana na mikataba
na matangazo mbalimbali ya wahisani

HATIMAYE RAIS MORSI AONDOLEWA MADARAKANI

JESHI LA MISRI LAMUONDOA MADARAKANI RAISI MOHAMMED MORSI

  
jeshi nchini Misri limemuondoa madarakani Rais aliyechaguliwa kwa njia ya kidemokrasia nchini humo Mohamed Morsi na imemteuwa kiongozi wa muda wa nchi baada ya maandamano makubwa yanayoipinga serikali.

Akihutubia kwa njia ya televisheni jumatano jioni, mkuu wa jeshi,Abdul Fatah Khalil Al-Sisi alisema katiba ya Misri imesitishwa kwa muda na mkuu wa mahakama ya katiba ameteuliwa kuwa kiongozi wa muda nchini humo. 



Sisi alitangaza kwamba jeshi linaangalia watu wa Misri kufuatana na maandamano makubwa ya upinzani yakidai kuwa Rais Mohamed Morsi ajiuzulu.

Kufuatia hotuba ya kwenye televisheni Bwana Morsi alitoa taarifa kupitia akaunti yake ya Twitter, akiita hatua ya jeshi ni “mapinduzi kamili”. Aliwasihi wa-misri wote kukataa hatua ya jeshi lakini pia aliwataka kuwa na amani.

Kiongozi mpya wa muda nchini Misri, Adli Mansour ana umri wa miaka 68 ni mkuu wa sheria katika mahakama ya juu ya katiba. Ataapishwa alhamisi.

Kama sehemu ya mwongozo mpya unaoungwa mkono na jeshi kwa nchi, sisi aliutaka uchaguzi wa urais na wabunge, jopo kutathmini katiba na kamati ya mashauriano kitaifa. Alisema mwongozo ulikubaliwa na makundi kadhaa ya kisiasa.

Pia aliwasihi watu wa Misri kuepukana na ghasia. Jeshi lilimpa Bwana Morsi saa 48 kutatua matatizo ya kisiasa au kuwepo hatari ya jeshi kuingilia kati. 



Viongozi wa jeshi walisema wataweka “mwongozo” kama tofauti kati ya serikali ya ki-islam na wapinzani wake hawatamaliza matatizo yao ifikapo jumatano mchana ya tarehe tatu mwezi wa saba mwaka 2013. Tarehe hiyo ya mwisho ilipita muda wake bila ya hatua zozote kuonekana.

Bwana Morsi hakika alikataa wito wa kujiuzulu na aliapa kuendelea kubaki madarakani hata kama itamsababishia kifo chake. Pia alilalamika jeshi kutoa kitisho chake cha kuingilia kati katika matatizo ya kisiasa.

Baruti zilipaa angani kwenye umati wa watu wanaocheza na kupeperusha bendera katika uwanja wa tahriri Square mjini cairo, kiini cha ghasia za mwaka 2011 ambazo zilimuondoa Rais wa muda mrefu nchini Misri, Hosni Mubarak.

Katika wiki ilizopita maandamano yenye ghasia kati ya wafuasi na wapinzani wa bwana Morsi yameuwa takribani watu 40. 



Jeshi la Misri limetangaza kuchukua madaraka ya nchi hiyo huku likitangaza kuwa si mapinduzi lakini Mohamed Morsi si rais tena wa Misri. Tayari Saudia Arabia imetuma salamu za pongezi kwa mkuu wa jeshi la nchi hiyo kwa kuchukua madaraka.

Hali ya rais Morsi ilikuwa ngumu pale wananchi wake walipoamua kuingia mitaani kumpinga siku chche zilizopita kwa maandamano baada ya kujitwalia madaraka mengi kiutawala kama mtangulizi wake

HII NI HATUA YA KUPONGEZWA KWA JB

NIMETOA MAISHA YANGU YOTE KWA CHAKULA- JB

 

JACOB STEPHEN 'JB'
JB mwigizaji wa filamu na Balozi wa Oxfam Tanzania.
MWIGIZAJI Nyota katiaka tasnia ya filamu Swahiliwood Jacob Stephen ‘JB’ amesema kuwa maisha yake yote ameyatoa kwa watu wenye shida ya chakula baada ya kuwa balozi wa Oxfam katika kampeni inayoitwa Grow akiongea na FC msanii huyo mwigizaji bora kwa mwaka 2012/ 2013 amesema kuwa ndoto yake ni kuwasaidia watoto wasio na chakula.

.
Masoud Ali, Dina Marios, Jacob Stephen Oxfam
Masoud Ali, Dina Marios, wakiwa na Jacob Stephen kama mabalozi wa Oxfam
Jacob Stephen
JB katika pozi
Jacob Stephen
JB akiwa na wadau wa Oxfam katika picha ya pamoja.
“Kwanza namshukru Mungu kwa kuchaguliwa kuwa Balozi wa Oxfam na kupewa kazi ambayo nimekuwa nikiifikiria siku zote jinsi gani naweza kuwasaidia wenye matatizo ya chakula hasa watoto, kuanzia sasa maisha yangu yote nimeyatoa kwenye chakula nitahakikisha hasa watoto wanapata chakula nikiwa kama balozi wa Oxfam,”anasema JB
JB ni mwigizaji pekee ambaye amechaguliwa kutoka kundi la wasanii wa filamu baada ya nafasi hiyo kuachwa na marehemu Steven Kanumba ambaye alikuwa Balozi wa Oxfam, kwa sasa inawezekana JB ndiyo kawa mrithi wake baada ya takribani mwaka mmoja, wadau kuhofia kukosekana mrithi wa marehamu Kanumba

WASANII WA BONGO MJIFUNZE KUWA WAJASIRIAMALI KUPITIA HII

ANGALIA HAPA SIMU ZA MKONONI ZENYE JINA LA CHAMILIONE

 Msanii maalufu afrika mashariki na kati JOSEE CHAMILIONE anaetamba na wimbo wake wa BADILISHA Hivi karibuni alitakiwa kuongeza hoda ya simu za mkononi zinazomilikiwa na yeye baada yakuisha kabisa katika soko, simu hizo zinazokubalika sana uganda,zimekuwa zikimuingizia kipato kikubwa chamilione kila siku. ni simu alizozitengeneza kwa ajili ya watu wa hali ya chini na zenye line mbili.
 Proj J akikabithiwa simu na jose chamilioni ikiwa kwenye box, kwa hapa tanzania ndio mtanzania pekee anaetumia simu hio ya CHAMILION,akiongea na mwandishi wetu Professor jay alisema alipewa vitu vingi  vya thamani sana na chamilion alipokwenda kwenye tamasha lake la BADILISHA CONCERT kama i pad ya kisasa kabisa n,k.
a
WASANII WA TANZANIA JIFUNZENI KUPITIA WASANII WA UGANDA
 FULSA ZIPO

Wednesday, 3 July 2013

TUNAJIFUNZA NINI KUTOKANA NA MALALAMIKO YA HAWA MACHANGUDOA


Katika hali ilisiyokuwa ya kawaida,  machangudoa wameulalamikia ujio wa Rais Barack Obama kwa kile kinachodaiwa  kuwa  haukuwa na faida yoyote kwa kukosa dili za pesa.
 

 
" Tumesikitishwa sana na ujio wa Obama kwani tulikuwa tumejipanga kupiga hela ndefu sana . 
"Bahati mbaya watu  wake tuliokuwa tunategemea kuwanasa walikuwa busy na wale  wa  mikoani  walizuiwa" Walisema akina dada hao.
 
Machungudoa hao wanadai  kuwa  kipindi cha Bush alipokuwa Rais ambaye alikaa nchini karibu wiki moja walinufaika sana ambapo wengi wao walijenga majumba kwa pesa za ziara ya Bush .